Salum Mwalimu aahidi kufufua kilimo cha pamba

Bunda. Mgombea urais wa Chama cha Chaumma, Salum Mwalimu ameahidi kufufua kilimo cha pamba na kukiunganisha moja kwa moja na viwanda, ili kuongeza thamani ya zao hilo na kuwanufaisha wakulima, endapo atachaguliwa kuongoza dola katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Akizungumza leo, Septemba 11, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa…

Read More

RC PWANI ATOA ONYO MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA LISHE

Septemba 10, 2025 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameziagiza wilaya na halmashauri mkoani humo kuhakikisha zinadhibiti  matumizi batili ya fedha za mpango wa lishe na badala yake zitumike kwa matumizi yaliyokusudiwa. Aidha, amezitaka mamlaka hizo kutoa fedha hizo kwa wakati na kwa kiasi kilichopangwa, bila ucheleweshaji wowote. Akifunga kikao cha lishe cha mkoa…

Read More

Lissu adai haki zake zimeminywa, ataka aachiwe huru

‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameieleza Mahakama Kuu kuwa hatua ya Mahakama ya Kisutu kukataa kuwaorodhesha mashahidi wake imemnyima haki na sasa hana mahali anakoweza kuipata, isipokuwa kwa huruma ya mahakama. ‎Ametoa madai hayo leo Alhamisi, Septemba 11, 2025, wakati akihimitisha majibu yake ya hoja za Jamhuri…

Read More

OCPD YAHIMIZA USAHIHI KWENYE UANDISHI WA HABARI ZA MASUALA YA KISHERIA NCHINI

 Na: Calvin Gwabara – Dodoma. Jamii na Wanahabari wametakiwa kutambua kuwa Katiba inabeba masharti ya jumla ya masuala mbalimbali ya nchi lakini masharti hayo yanafafanuliwa zaidi kupitia Sheria, kanuni na Miongozo, hivyo jamii isidai yaliyoandikwa kwenye katiba moja kwa moja bila kutafuta ufafanuzi zaidi na kuhisi wananyimwa haki zao. Mwandishi Mkuu wa Sheria nchini Bw….

Read More

TIRDO WATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA WILAYA YA KINONDONI

Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limeendelea kutoa elimu juu ya njia bora za kuzalisha na kuhifadhi mazao ya baharini, hususan samaki na mwani. Mafunzo hayo ya siku mbili yaliyotolewa kwa wajasiriamali wanaojihusisha na uzalishaji na uhifadhi wa samaki kutoka Kata ya Kunduchi katika Manispaa ya Kinondoni yamelenga kuwajengea uwezo ili waweze…

Read More

Wanaodaiwa kughushi vibali vya silaha mambo bado

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi, upo hatua za mwisho kukamilika. Wakili wa Serikali, Clemence Kato, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Septemba 11, 2025 ilipofikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa. Wakili Kato ametoa maelezo hayo,…

Read More

Wafungwa wapiganiwa kupata haki ya unyumba gerezani

Dar es Salaam. Wakili mkoani Iringa amewasilisha ombi Mahakama Kuu akiomba itamke kuwa, vifungu vya sheria vinavyowazuia wafungwa kuonana faragha na wenza wao wa ndoa na kupata unyumba havina uhalali Kikatiba. Vilevile, ameiomba Mahakama itoe amri kwamba, wafungwa walio katika ndoa halali waruhusiwe kukutana faragha na wenza wao kinyumba bila usimamizi wa askari magereza. Katika…

Read More