Wakili apigania haki wafungwa kupata unyumba gerezani

Dar es Salaam. Wakili mkoani Iringa amewasilisha ombi Mahakama Kuu akiomba itamke kuwa, vifungu vya sheria vinavyowazuia wafungwa kuonana faragha na wenza wao wa ndoa na kupata unyumba havina uhalali Kikatiba. Vilevile, ameiomba Mahakama itoe amri kwamba, wafungwa walio katika ndoa halali waruhusiwe kukutana faragha na wenza wao kinyumba bila usimamizi wa askari magereza. Katika…

Read More

Wakili afungua kesi akiomba wafungwa kupata unyumba gerezani

Dar es Salaam. Wakili mkoani Iringa amewasilisha ombi Mahakama Kuu akiomba itamke kuwa, vifungu vya sheria vinavyowazuia wafungwa kuonana faragha na wenza wao wa ndoa na kupata unyumba havina uhalali Kikatiba. Vilevile, ameiomba Mahakama itoe amri kwamba, wafungwa walio katika ndoa halali waruhusiwe kukutana faragha na wenza wao kinyumba bila usimamizi wa askari magereza. Katika…

Read More

Wanaodaiwa kughushi vibali vya kumiliki silaha, upelelezi wao upo hatua za mwisho kukamilika

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi, upo hatua za mwisho kukamilika. Wakili wa Serikali, Clemence Kato, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Septemba 11, 2025 ilipofikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa. Wakili Kato ametoa maelezo hayo,…

Read More

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI AWAFUNDA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANGA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

  Na Oscar Assenga,TANGA. IKIWA zimesali siku chache kuingia kwenye uchaguzi Mkuu Octoba 29 Ofisi ya Vyama vya Msajili nchini imekutana naviongozi wa vyama vya siasa mkoani Tanga kwa lengo la kutoa elimu ya masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi kuhakikisha vinafuata sheria na kanuni zilizowekwa. Elimu hiyo ilifanyika leo kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la…

Read More

Dk Mwinyi : Sera ya nishati kukuza utafiti, teknolojia na uvumbuzi Zanzibar

Unguja. Wakati ikizinduliwa sera ya nishati, imetajwa kukuza uwekezaji katika utafiti, teknolojia na uvumbuzi kwenye maeneo ya nishati safi, matumizi bora na teknolojia za kisasa zinazopunguza gharama na kuongeza ufanisi. Hayo yamebainishwa leo Septemba 11, 2025 na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi wakati wa kuzindua sera hiyo Unguja Zanzibar. Amesema sera hiyo inahamasisha matumizi…

Read More

Mauaji ya mwanaharakati wa Trump kuzua mpasuko mpya wa kisiasa Marekani

Washington. Rais Donald Trump ameagiza bendera ya taifa kupeperushwa nusu mlingoti, huku akitoa ujumbe mzito wa maombolezo kufuatia mauaji ya mwanaharakati na mshirika wake wa karibu, Charlie Kirk, yaliyotokea katika chuo kikuu huko Utah. Trump kupitia video fupi ya dakika nne aliyoichapisha kwenye akaunti yake ya Truth Social amelaani kitendo hicho kwa kusema; “kuwafanya wapinzani…

Read More