Sh385 bilioni kuimarisha miundombinu ya umeme Zanzibar
Unguja. Zanzibar inatarajia kupata mfutiko mkubwa katika sekta ya nishati kufuatia kutiwa saini kwa mradi wa uimarishaji wa miundombinu ya umeme wenye thamani ya Sh385 bilioni, baina ya Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) na kampuni ya Elecmech Switchgears kutoka Dubai. Hafla ya utiaji saini imefanyika leo Ijumaa, Desemba 5, 2025, katika viwanja vya Maisara, Mjini…