Mpina aibwaga INEC, arejeshwa kwenye mchakato wa urais

Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu-Dodoma, imemrejesha kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina. Kesi hiyo ilikuwa inasikilizwa na jopo la majaji watatu, Abdi Kagomba, Evaristo Longopa na John Kahyoza.Katika hukumu yao, majaji wamesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ni huru na haikupaswa kusikiliza…

Read More

Wakazi vijiji vya Mto Mara kupewa mafunzo

Musoma. Wakazi wa vijiji 136 vinavyozunguka bonde la Mto Mara katika wilaya sita mkoani humo,  wanatarajiwa kupata mafunzo kuhusu uhifadhi endelevu wa bonde hilo hatua ambayo inalenga kupunguza shughuli za binadamu zinazofanywa katika bonde la mto huo zinazohatarisha uhai wake. Mbali na elimu pia zaidi ya miti 8,000 inatarajiwa kupandwa katika maeneo mbalimbali yanayozunguka bonde hilo…

Read More

Wasichana wataka kushiriki utekelezaji wa dira 2050

Dar es Salaam. Licha ya hatua mbalimbali kuendelea kuchukuliwa kuhakikisha kunakuwa na usawa kwa watoto wa jinsia zote, bado kuna ombwe la ujuzi wa ujasiriamali na stadi za maisha kwa wasichana , jambo linalozuia kundi hilo kufikia uhuru wa kiuchumi. Hayo yameelezwa na wasichana wakati wa uzinduzi wa jukwaa la Ajenda ya Msichana 2025 linalolenga…

Read More

Mafuriko ya watu mahakamani Mpina akipigania haki yake

Dodoma. Idadi ya watu waliofika mahakamani leo kusikiliza kesi ya mgombea urais wa Chama cha ACT –Wazalendo, Luhaga Mpina imeongezeka ukilinganisha na siku zingine. Watu wengi waliofika mahakamani leo wamevalia nguo zinazotumiwa na chama hicho kama sare yao ingawa wengi wanaonekana kuwa na nguo za kawaida na wote wameruhusiwa kuingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu…

Read More

Majaliwa: Sera ya Taifa ya Ufuatiliaji na Tathmini ikamilishwe haraka

Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mkakati wa kuhakikisha shughuli zote za ufuatiliaji na tathmini zinaimarishwa, huku akizitaka taasisi husika kukamilisha maandalizi ya Sera ya Taifa ya Ufuatiliaji na Tathmini ili kuwezesha kutungwa kwa sheria itakayosimamia utekelezaji wake. Akifungua Kongamano la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza (MEL) leo Alhamisi Septemba 11, 2025…

Read More

Aliyedai kuombwa kumuua Mpina aachiwa huru

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Shinyanga imefuta hukumu ya kifungo cha miezi sita jela alichohukumiwa Pendo Elikana, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa aliombwa amuue Luhaga Mpina. Mpina amekuwa mbunge wa Kisesa kwa vipindi vitatu (2005–2020) kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliwahi kuhudumu kama Waziri wa…

Read More