Ajali yaua sita Rorya | Mwananchi
Rorya. Watu sita wamefariki dunia papo hapo na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walikokuwa wakisafiria kugonga kwa nyuma gari lililokuwa limeegeshwa barabarani baada ya kuharibika. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Buganjo wilayani Rorya wakati gari aina ya Toyota Succeed likiwa limebeba watu saba likiwa linatoka mjini Tarime kuelekea Kijiji cha Busurwa wilayani Rorya, liligonga…