Dk Nchimbi aeleza sababu CCM kuomba ichaguliwe tena

Katavi. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana miaka mitano iliyopita, yanakifanya chama hicho kutoka kifua mbele kuomba tena ridhaa ya Watanzania kuwaongoza. Amesema maeneo mbalimbali nchini kuna miradi mingi imekamilika au inaendelea kutekelezwa mathalani ya afya, elimu, barabara, kilimo, ufugaji, uvuvi na maji inayochochea uchumi…

Read More

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUTOA AJIRA MALIASILI NA UTALII

……………. Na Sixmund Begashe, Mwanza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutoa fursa ya ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vilivyopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Katibu Mkuu (Uhifadhi) wa Wizara hiyo, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba, katika mahafali ya 61 ya Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi…

Read More

Serikali ya Chaumma kupambana na madalali wa tumbaku

Kaliua. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimesema endapo kitaingia madarakani, kitahakikisha wakulima wa tumbaku wanapata manufaa halisi ya kilimo hicho kwa kuondoa changamoto zinazowakwamisha, ikiwamo udhibiti wa madalali wanaowanyonya. Chama hicho pia kimeahidi kuweka mifumo bora ya ununuzi wa tumbaku na kuhakikisha bei ya mazao inaakisi gharama halisi za uzalishaji ili kuongeza tija kwa…

Read More

ADC yaahidi mapinduzi ya kilimo, mikopo, miundombinu na kodi

Simiyu. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaoa kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Mulumbe, ameahidi kujenga kiwanda cha vifaa tiba mkoani Simiyu kwa lengo la kuongeza thamani ya zao la pamba, endapo kitashinda katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza leo, Jumatano, Septemba 10, 2025, mjini Bariadi, Mulumbe amesema lengo la kiwanda…

Read More

Vifo vya kujiua vyageuka tishio

Dodoma/Dar.  Wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya kuzuia kujiua duniani, imeelezwa idadi ya wanaojiua nchini inaongezeka, wanaume wakiongoza. Kuokana na hilo, mamlaka zinazohusika zimetakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na hali hiyo. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, jitihada kadhaa zinachukuliwa zikiwamo kampeni za uhamasishaji, kuboresha huduma za ushauri katika vituo vya afya na kuanzisha namba…

Read More

Watu wenye ulemavu 2,000 nchini kunufaika na pikipiki za nishati ya umeme

Babati. Watu wenye ulemavu 2,000 nchini watanufaika na pikipiki zenye magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme, zinazotolewa bila malipo na taasisi ya Mati Foundation ya mjini Babati, mkoani Manyara. Taasisi hiyo imeeleza mpango wake wa kutoa pikipiki hizo zaidi ya 2,000 kwa makundi ya watu maalumu ili kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili katika shughuli za utafutaji….

Read More

Sh1.08 trilioni kusaidia utekelezaji uchumi wa buluu

Dar es Salaam. Ili kuongeza mchango wa uchumi wa buluu katika pato la Taifa, Umoja wa Ulaya umetoa zaidi ya Sh1.08 trilioni kwa benki za biashara nchini ili zikopeshwe kwa makundi yaliyopo katika mnyororo wa thamani wa sekta hiyo. Fedha hizo, zilizotolewa na Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), tayari zinatolewa kupitia benki za CRDB,…

Read More

Sababu Lissu kuomba muda zaidi, Mahakama yatoa kauli

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, impe muda apitie uamuzi wa kesi zilizowasilishwa na upande wa mashtaka walipojibu hoja za pingamizi lake alizowasilisha katika kesi ya jinai inayomkabili. ‎Katika kesi hiyo, Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini kinyume cha kifungu…

Read More