Samia kufanyia kazi ombi la Nzega kuwa mkoa mpya

Nzega. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi maombi yaliyowasilishwa kwake na mgombea ubunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ikiwemo kuanzisha mkoa mpya wa Nzega. Samia ametoa ahadi hiyo leo, Septemba 10, 2025, wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Jimbo la Nzega…

Read More

Samia kufanyia kazi ombi la Nzega kuwa mkoa

Nzega. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi maombi yaliyowasilishwa kwake na mgombea ubunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, ikiwemo kuanzisha mkoa mpya wa Nzega. Samia ametoa ahadi hiyo leo, Septemba 10, 2025, wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Jimbo la Nzega…

Read More

TADB na Solidaridad wawezesha Vijana ufugaji Ng’ombe wa Maziwa Mkoani Tanga

Vijana wameendelea kupiga hatua za kimaendeleo Mkoani Tanga Kupitia ufugaji wa ng’ombe wa Maziwa waliowezeshwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kwa kushirikiana na Solidaridad. Katika kukabiriana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana, TADB kwa kushirikiana na Solidaridad East Africa wameanzisha mpango wa kipekee unaoitwa Youth Farm Settlement (YFS), chini ya Dairy…

Read More

Historia mpya, washtakiwa 30 wakiri makosa ya ugaidi

Dar es Salaam. Linaweza kuwa moja ya matukio nadra kutokea katika usikilizwaji wa kesi, baada ya washtakiwa wote 30 kukiri makosa kadhaa ya ugaidi na kuhukumiwa kifungo cha miaka sita jela, baada ya kusota gerezani kwa miaka 10. Uamuzi wa washtakiwa kukiri makosa ya ugaidi unaingia katika matukio yaliyovunja rekodi katika haki jinai, hasa ikizingatiwa…

Read More

UJENZI WA KAMPASI YA NJOMBE UDOM WAANZA KWA KASI

  Ujenzi ukienda kwa pamoja na usomaji ramani na michoro. Watalaamu wakiangalia kwa makini michoro ya ujenzi wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi. Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Lughano Kusiluka, ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya UDOM mkoani Njombe, huku akisisitiza mkandarasi kuongeza…

Read More

INEC yatoa angalizo kauli zinazochochea uvunjivu wa amani

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imeonya wanasiasa wanaotoa kauli kuhamasisha uvunjifu wa sheria kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele alisema hayo Septemba 9, alipoulizwa na Mwananchi kuhusu kauli za baadhi ya wanasiasa, wakiwamo wagombea wanaohamasisha wananchi kulinda kura. Jaji Mwambegele alisema kufanya hivyo…

Read More