CCM, Chaumma ni mwendo wa kunadi sera, kusaka kura

Dodoma. Kampeni za kuwania nafasi ya urais, ubunge na udiwani, zimetimiza siku 10 tangu zilipozinduliwa Agosti 28, 2025, huku wagombea wa urais wa vyama mbalimbali wakizunguka huku na kule kunadi sera na kuzisaka kura. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameshafanya ziara katika mikoa saba kuomba kura, akianzia Dar es Salaam,…

Read More

DKT. SAMIA: TUMETEKELEZA MIRADI YA FEDHA NYINGI KWASABABU TUMEDHIBITI RUSHWA NCHINI

-Awapongeza watumishi sekta ya umma na binafsi kwa kusimamia matumizi vizuri -Maombi ya Hussen Bashe aahidi kwenda kufanyia kazi limo Nzega iwe mkoa Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Nzega MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambao unafanyika nchini kwa kutumia fedha nyingi inayokusanywa kwasababu wamesimamia matumizi vizuri….

Read More

ULEGA AENDELEA KUINADI ILANI YA UCHAGUZI MKUU CCM AKIOMBA KURA KWA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu,Mkuranga MGOMBEA ubunge Jimbo la Mkurunga mkoani Pwani Abdallah Ulega, ameendelea kuimarisha kampeni zake kwa kunadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 huku akisisitiza dhamira ya chama hicho ni kuendelea kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Kata…

Read More

Ukata watajwa kukwamisha kampeni za vyama vya upinzani Mbeya

Mbeya. Zikiwa zimetimia siku 14 tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuruhusu kuanza kwa kampeni, baadhi ya vyama vya siasa, hususani vya upinzani mkoani Mbeya bado hakijaeleweka, huku wagombea wakieleza sababu tofauti. INEC ilitangaza kuanza kampeni za uchaguzi mkuu tangu Agosti 28 kwa wagombea nafasi za urais, ubunge, udiwani na uwakilishi, lakini kwa…

Read More

Mechi za Kukutajirisha na Meridianbet Hizi Hapa

JUMANNE ya leo mechi za kufuzu Kombe la Dunia Afrika zinaendelea kama kawaida ambapo kila timu inahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ushindi. Suka jamvi lako la uhakika hapa na uibuke bingwa sasa. Tanzania baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita akiwa ugenini, leo hii atakuwa mwenyeji wa Niger ambao kushinda mechi hii leo…

Read More

Nyota Wanaotengeneza Historia Hawa Hapa

LEO hii Jumatano wakali wa ubashiri Meridianbet wanakuletea orodha za wachezaji ambao ndio wafungaji bora wa muda wote kwenye Mataifa mbalimbali barani Afrika. Lakini leo hii pia unaweza ukasuka jamvi lako la ushindi na Meridianbet. Tukianza na Egypt rekodi ya mfungaji bora wa muda wote inashikilia na mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ambaye mpaka sasa…

Read More

KISARAWE KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA AFYA BURE

Na Mwandishi wetu Kisarawe WAKAZI wa wilaya ya Kisarawe na maeneo ya jirani wanatarajia kunufaika na huduma za afya bure kutoka kwa madaktari bingwa wa hospitali ya wilaya hiyo. Madaktari hao ambao wamekuwa wakifanya kazi katika hospitali ya wilaya wataweka kambi ya siku tatu kuanzia Septemba 15 hadi 17 kutoa huduma za kibingwa bure. Akizungumza…

Read More