Darasa la saba waanza mtihani leo

Kibaha. Wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Kambarage Manispaa ya Kibaha Mkoa wa Pwani wameelezea namna walivyojiandaa na mtihani wa kuhitimu elimu hiyo unaotarajia kufanyika kwa siku mbili leo na kesho  nchini kote. Wahitimu hao walioanza safari ya kusaka elimu tangu mwaka 2019 wanahitimisha hatua hiyo ikiwa ni maandalizi ya kuanza elimu…

Read More

Chadema watakavyogawa kumbi za Mahakama leo kufuatilia kesi zinazowahusisha

Dar es Salaam. Viongozi, wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo watalazimika kugawana kumbi za Mahakama katika kufuatilia mienendo ya kesi mbili tofauti zinazokihusisha chama hicho. Kesi hizo zimekuwa zikiwakutanisha mahakamani wana-Chadema hao ni kesi ya madai inayokikabili chama hicho kuhusiana na mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali za chama kati ya…

Read More

Ahadi za vyama, ZEC ziwe kwa vitendo zaidi

Hivi karibuni, jumla ya vyama 18 vya siasa vilitia saini hati ya makubaliano ya kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Zanzibar unafanyika kwa amani, uwazi na kwa misingi ya kidemokrasia. Makubaliano hayo yaliyosimamiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Kazi, yamelenga kujenga mazingira bora ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyia Jumatano Oktoba…

Read More

Necta yaonya kusambaza matokeo kwa majina ya watahiniwa

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewaonya wale wote wanaohifadhi kuhifadhi, kuchapisha, kusambaza au kuonesha hadharani matokeo ya mtihani ya mtahiniwa, kwa kutumia jina lake au taarifa nyingine zozote zinazoweza kusababisha kumtambua mwanafunzi au mtahiniwa bila idhini yake. Kutumia taarifa binafsi zinazomtambulisha mtahiniwa bila kuwa na kibali,  kumetajwa kukiuka Sheria ya Ulinzi…

Read More