TAARIFA KUTOKA BODI YA WAKURUGENZI YA TAIFA GROUP KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA HIVI KARIBUNI
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi wa Taifa Group Limited (“Taifa Group”) tunapenda kukanusha kwa dhati na kwa uwazi tuhuma zisizokuwa na msingi zilizotolewa hivi karibuni kuhusu miamala iliyofanywa na kampuni zetu tanzu za Tancoal Energy Limited (TANCOAL) na Williamson Diamonds Limited (WDL) Tuhuma hizo zinahusu ununuzi wa hisa katika Tancoal na WDL. Madai hayo…