
Mikopo inayotolewa na benki yaongezeka, Dar bado kinara
Dar es Salaam. Wakati mikopo inayotolewa na benki nchini ikiongezeka kwa asilimia 73.83 katika kipindi cha miaka minne, wakazi wa Dar es Salaam ndio wanufaika wakuu. Dar es Salaam kuwa kinara wa uchukuaji mikopo katika kipindi hicho kunatajwa kuchangiwa na uwepo wa shughuli nyingi za kibiashara, ufikiaji huduma na mazingira mazuri yaliyopo. Ripoti ya hali…