Watoto wanawatazama na kuwafuatilia kina nani?

Dar es Salaam. Watoto ni vioo vidogo vya jamii. Wanachoona ndicho wanachojifunza, na wanachosikia ndicho wanachojaribu kuiga.  Katika zama hizi za mitandao ya kijamii na televisheni, swali kubwa la kujiuliza ni: Watoto wetu wanawatazama na kuwafuatilia kina nani?  Je, wanawafuata watu wanaojenga maadili na kuwapa ndoto za maisha bora, au wanawafuata tu wale wanaoonekana maarufu…

Read More

Nafasi ya elimu ya watu wazima zama za dijitali

Elimu haina mwisho ni methali inayobeba ujumbe kwamba kujifunza ni mchakato wa maisha yote; haijalishi mtu yupo katika hatua ipi ya maisha. Nchini Tanzania, elimu ya watu wazima si jambo jipya, bali ni urithi uliojengwa tangu Taifa likiwa changa kimaendeleo, na leo hii imekuwa nyenzo muhimu katika zama hizi za kidijitali. Hii ndiyo sababu imeifanya elimu…

Read More

Achana Na ‘Siwezi Kuishi Bila Yeye’, Kuna Maisha Bila Yeye! – Global Publishers

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri ya anayependa! Lakini sasa, kuna kitu nilichogundua miongoni mwetu, kitu ambacho tusipokuwa makini nacho tunaweza kujikuta tunajilazimisha kuishi…

Read More

TMA YAHIMIZWA KUENDELEA KUSHIRIKISHA WADAU ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA

…………….. Dodoma; Tarehe 8, Septemba, 2025. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehimizwa kuendelea kushirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa nchini.  Mgeni rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya TMA, Mhe. Jaji Mshibe Ali Bakari alisema hayo wakati akifungua mkutano wa 24 wa wadau katika kujadili…

Read More

Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Kukupatia Ushindi

JE unajua kuwa unaweza kushinda leo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia Mataifa ya Afrika?. Mechi kibao za pesa zipo leo kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi hapa. Katika kundi H, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Equatorial Guinea dhidi ya Tunisia…

Read More

TPA yaja na mkakati wa soko la DRC

Dar es Salaam. Baada ya mkakati wa maboresho kuongeza ufanisi wa utendaji wake, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) sasa imegeukia kuyasaka masoko, ikianza na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). DRC inachangia zaidi ya asilimia 40 ya mizigo yote inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa ripoti ya TPA ya…

Read More