Namna ya kumsaidia mtoto anayemaliza darasa la saba

Dar es Salaam. Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakitarajia kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi Septemba 10 na 11 mwaka huu, wadau wameainisha njia nzuri ya kuishi nao kwa miezi mitatu ijayo. Kipindi hiki cha likizo kinatajwa kuwa fursa nzuri kwa wazazi na walezi kusaidia kukuza vipaji vya watoto wao, hivyo kupata…

Read More

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN

………   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi kwa kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani.   “Ni jukumu lako kwenda kutangaza fursa zilizopo hapa nchini, tumia vizuri mahusiano yetu…

Read More

DART ilivyojichongea mahakamani, yageuziwa kibao

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewageuzia kibao Wakala wa Serikali wa Uendeshaji wa Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar Rapid Transit Agency (DART), na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) walioishtaki kampuni ya Spark Venture (T) Limited, wakilalamikia kuvunjwa kwa mkataba wa kibiashara. DART, msimamizi wa mfumo huo wa Mabasi Yaendayo…

Read More

Polisi waimarisha ulinzi, kesi ya Lissu Mahakama Kuu Dar

Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitarajia kupandishwa kizimbani leo katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kwa ajili ya usikilizwaji wa hoja au maelezo ya awali ya kesi ya uhaini inayomkabili, ulinzi umeimarishwa kuanzia nje, getini hadi ndani ya Mahakama. Ulinzi huo umeimarishwa na askari…

Read More

Baharia anayeamini 2025 ni zamu yake kuwa Rais

Mambo mengi yanajenga kumbukumbu kuhusu Mei 18, 1966. Chombo cha anga cha Surveyor 1, kilichobuniwa na kuundwa na Shirika la Sayansi ya Anga la Marekani (Nasa), kilitua kwa mara ya kwanza mwezini kwa majaribio. Kwa Canada, ni kumbukumbu mbaya kwani magaidi walilipua jengo kuu la Bunge la nchi hiyo kwa mabomu yaliyotegwa. Kinyota, Mei 18…

Read More