Wananchi watahamaki kupatwa kwa mwezi Dar

Dar es Salaam. Jana, Jumapili Septemba 7, 2025, Tanzania ilishuhudia tukio adimu la kupatwa kwa mwezi ambalo limeacha simulizi tofauti miongoni mwa wananchi. Wakati baadhi ya makundi yalionekana kujikusanya mitaani kushuhudia kwa mshangao anga likibadilika na mwezi kufunikwa kwa kivuli cha dunia, wengine walihisi hofu kubwa na kujifungia ndani kwa imani kuwa ni ishara ya…

Read More

MBETO :AMANI NA UMOJA FUNGUO ZA MILANGO YA MAENDELEO

::::::” Na Mwandishi wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi kimesema hakitaacha kuzihimiza Serikali zake zizidishe mkazo na kuhakikisha hakuna mtu au kikundi chochote kinachoweza kuvuruga Amani na Umoja.  Vile vile chama hicho kimefichua siri ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka katika Awamu ya Nane Zanzibar ni kuwepo kwa Ustawi wa Amani na Utulivu . Hayo yamebainishwa…

Read More

MARY CHATANDA AMUOMBEA KURA DK.SAMIA MKURANGA, AMPIGIA DEBE ULEGA MKURANGA

Na Mwandishi Wetu,Mkurunga  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mary Chatanda amesema Chama hicho  kimewateua wagombea wanaokubalika kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Hivyo amesema jukumu kubwa la wananchi ni kuhakikisha wanawachagua wagombea wa Chama hicho kuanzia nafasi ya Urais ,wabunge na madiwani kwa  kuwapa…

Read More

ABDALLAH ULEGA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE KWA KISHINDO JIMBO LA MKURANGA

  Amuombea kura mgombea Urais CCM Dk.Samia …agusia Katiba Mpya Na Mwandishi wetu, MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Alhaj Abdallah Ulega amewataka watanzania kama wanataka katiba mpya basi wanapaswa kumchagua Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Amesema hata katika uzinduzi wa kampeni kitaifa zilizofanyika jijini Dar…

Read More

Kinachosubiriwa leo kesi ya Mpina kuenguliwa urais ACT- Wazalendo

‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma leo Jumatatu, Septemba 8, 2025 inahitimisha usikilizaji shauri la kuenguliwa kwa mgombea urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo kupeperusha bendera yake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, utakaofanyika Oktoba 29. Awali Mahakama hiyo ilielekeza shauri hilo lisikilizwe kwa njia ya maandishi na mawakili wa pande zote waliwawasilisha…

Read More

Lissu kujibu shitaka la uhaini leo kwa mara ya kwanza

‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo anapandishwa kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing – PH). Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa leo, Jumatatu Agosti 8, 2025 katika hatua hiyo  na Jaji Mfawidhi…

Read More