BODI YA WAKURUGENZI WA TAIFA GROUP YAZIDI KUWEKA WAZI MCHAKATO WA UNUNUZI WA HISA ZA MAKAMPUNI YAKE YA TANCOAL NA WDL
Wanaochafua taswira ya kampuni kuchukuliwa hatua za kisheria
Wanaochafua taswira ya kampuni kuchukuliwa hatua za kisheria
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula. Dk.Nchimbi yuko mkoani Kagera ambako amewasili tangu jana na leo Septemba 7 ameendelea na mikutano ya kampeni ya kuomba kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea…
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuwa usiku wa leo, Septemba 7, 2025, wananchi wataushuhudia mwezi ukipatwa kwa muda wa takriban saa sita. Kwa mujibu wa TMA, tukio hilo litaanza kwa kupatwa kwa sehemu ya mwezi mara baada ya jua kuzama na kuendelea hadi saa 2:29 usiku. Baada ya hapo,…
Karatu. Wabunge waliomaliza muda wao, Cecilia Paresso (Viti Maalumu, Arusha) na Daniel Awack (Karatu), wamesema hawana tofauti binafsi, bali ushindani uliokuwapo awali ulikuwa wa kidemokrasia kwa lengo la kuwatumikia wananchi. Kauli hizo zimetolewa leo Jumapili, Septemba 2025, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Mang’ola. Paresso amesema mwaka 2020 aligombea ubunge wa Karatu kupitia Chama…
::::::::: Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbalimbali. Ujumbe huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Mkoa wa Al Wusta na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chama…
Tabora. Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketiya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Almas Kisabya, amesema endapo atapata ridhaa ya kuliongoza Taifa, ndani ya siku 30 baada ya kuunda Baraza la Mawaziri, kipaumbele chake kitakuwa kuhakikisha mashine za kukusanyia mapato (EFD) zinatolewa bure kwa wafanyabiashara wote nchini. Kisabya amesema hayo leo Jumapili, Septemba 7, 2025,…
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hadija Mwago, ameahidi kubadilisha sura ya elimu kwa kujenga shule moja katika kila mtaa wa jimbo hilo, ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani na kuhakikisha watoto wanapata elimu bora karibu na makazi yao. Ametoa kauli hiyo leo,…
Dar es Salaam. Baada ya mageuzi ya huduma yaliyochochea ufanisi katika uendeshaji wa bandari, hatimaye Bandari ya Dar es Salaam imeanza kupokea na kuhudumia meli kubwa zenye urefu wa hadi mita 300. Hatua hiyo inakuja baada ya uwekezaji katika sekta ya bandari uliolenga kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa kituo kikuu cha kuhudumia shehena…
Dar es Salaam. Licha ya shangwe, shamrashamra na furaha zinazoshuhudiwa katika mikutano ya kampeni za uchaguzi, kukosekana kwa midahalo ya wagombea urais inayorushwa mubashara kunatajwa kuwa ombwe katika demokrasia ya Tanzania. Hii si ajali ya kisiasa ya msimu huu pekee. Ni utamaduni uliojengeka kwa zaidi ya miongo mitatu tangu kuanza kwa mfumo wa siasa za…
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewahakikishia wananchi wa Lindi kuwa miradi mbalimbali ya maendeleo itaendelea kutekelezwa endapo watamchagua mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025. Amesema miradi hiyo ni pamoja na gesi, bandari ya uvuvi Kilwa, ujenzi upya wa barabara ya Dar es Salaam–Lindi,…