Mtemvu azindua kampeni za Zungu Ilala

MWENYEKITI WA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abass Mtemvu,amesema wamejipanga vyema kuhakikisha MgombeaUrais Dk.Samia Sukuhu Hassan anapata kura za kishindo mkoani humo. Ameyasema alipokuwa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu alipo zindua kampeni za CCM katika jimbo la Ilala,Dar es Salaam, Jana. Mtemvu alisema Rais DK. Samia, amefanya mambo makubwa ya utekelezaji…

Read More

KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA ZAZINDULIWA RASMI LEO

Kampeni za Ubunge katika Jimbo la Mchinga, Kata ya Rutamba, zimezinduliwa rasmi leo kwa kushirikisha viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Mkoa, kampeni hizo zimezinduliwa rasmi kupitia Mbunge wa Jimbo hilo, Mama Salma Kikwete, akiambatana na mumewe, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na wabunge kutoka…

Read More

Kilimo cha viungo chapata msukumo mpya

Nairobi. Wakulima wa mazao ya viungo Tanzania wamepata neema mpya kufuatia uamuzi wa kampuni ya Aavishkaar Capital kuwekeza Dola milioni 5 za Marekani (Sh12.5 bilioni) kwa ajili ya ukuzaji na uchakataji wa mazao hayo ili kukidhi mahitaji ya soko. Katika hafla ya kuelezea mpango huo mwishoni mwa wiki hii, ilielezwa kuwa fedha hizo zitawasaidia wakulima…

Read More

DK. NCHIMBI APAA KWA HELIKOPTA KUSAKA KURA ZA CCM KAGERA

MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, leo Septemba 7, 2025, ameruka kwa helikopta akizisaka kura za kishindo za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Balozi Dk. Nchimbi ameanza ziara yake ya kampeni Mkoani Kagera kwa kishindo, ambapo atafanya mikutano katika…

Read More

TANZANIA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA MWEZI KIKAMILIFU LEO

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa, Septemba 7,2025 kunatarajiwa kuwepo kwa tukio la kupatwa kwa Mwezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 6,2025 na TMA imefafanua kuwa,hali ya kupatwa kwa Mwezi ni tukio linalotokea wakati Dunia inapita kati ya Jua na Mwezi na kusababisha kivuli cha Dunia kuwa katika uso wa Mwezi….

Read More

Kuelekeza kupita kiasi kikwazo kwa mtoto kujifunza

Jumamosi asubuhi, Mariam hupewa jukumu la kufagia sebuleni na mama yake. Kila anaposhika ufagio, mama haishi maagizo. “Anzia pale kona, shika ufagio vizuri, pitisha ufagio kama hivi, usisahau chini ya meza, sasa pindua kiti, hapana, usifagie kwa haraka hivyo. Mtoto wa kike usiwe na haraka unaposafisha nyumba.” Mara nyingine, anapokuwa anaosha vyombo, mama haishiwi maagizo:…

Read More

Hatari ya wazazi kubagua watoto

Katika kila familia, watoto ni zawadi ya kipekee yenye thamani isiyo na kifani. Kila mtoto huja duniani akiwa na vipaji, ndoto, na uwezo wa kuchangia kwa namna yake katika jamii. Hata hivyo, hali ya ubaguzi wa watoto imekuwa changamoto inayokua kwa kasi katika jamii nyingi. Wazazi na walezi, kwa kujua au kutojua, huonyesha upendeleo kwa…

Read More