Dk Nchimbi: Wilaya zote nchini kuunganishwa kwa lami
Biharamulo. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo wanakwenda kuziuganisha wilaya zote nchini kwa barabara za kiwango cha lami. Amesema hilo litawezekana iwapo, Watanzania watamchagua mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ya Oktoba 29, 2025 kuendelea kusalia…