TRA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA WA JUMLA TUZO ZA NBAA KWA MWAKA 2024
Mamlaka ya Mapato tanzania (TRA) yaibuka Mshindi wa Kwanza wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu katika Sekta ya Umma (IPSAS). Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) tarehe 4 Desemba, 2025 jijini Dar es Salaam. Vilevile, TRA imeibuka mshindi wa…