MBETO AMVAA OMO AKIMTAKA AACHE MAKELELE YAKE

 :::::::: Na Mwandishi Wetu, Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi kimesema kwa mujibu wa Sheria hakuna chama chochote cha Siasa ,Vyombo vya habari au Taasisi yoyote yenye Mamlaka ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi bila idhini ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Pia chama hicho kimesisitiza kuwa Uchaguzi katika nchi yoyote duniani , huongozwa kwa kanuni na taratibu…

Read More

Dk Mwinyi arudisha fomu ZEC, aeleza matumaini yake

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amerejesha fomu kuomba kuteuliwa kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akieleza matumaini yake ya kuteuliwa kuwania nafasi hiyo. Dk Mwinyi, Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi anayemaliza muda wake, alikuwa wa kwanza kuchukua fomu…

Read More

Mafuwe aahidi soko la kisasa kwa wafugaji wa Kia

Hai. Mgombea ubunge wa Jimbo la Hai kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Saashisha Mafuwe, ameahidi kutumia ushawishi na mahusiano yake ndani ya Serikali kuhakikisha soko la mnada wa mifugo lililopo katika eneo la Mijohoroni, Kata ya Kia, linaboreshwa na kujengwa kwa viwango vya kisasa. Amesema lengo la maboresho hayo ni kuwawezesha wafugaji kuuza mifugo yao…

Read More

TCRA yaifungia JamiiForums miezi mitatu, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 90 leseni ya huduma za maudhui mtandaoni iliyokuwa inamilikiwa na kampuni ya Vapper Tech Limited, wamiliki wa jukwaa maarufu la JamiiForums, baada ya tuhuma za kuchapisha maudhui yanayodaiwa kupotosha na kudhalilisha viongozi wa Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 6,…

Read More

Meridianbet Kuja na Meridian Bonanza Yenye Ushindi Mfululizo – Global Publishers

Katika zama hizi ambapo michezo ya kubashiri mtandaoni inazidi kuchukua nafasi kubwa kwenye burudani ya kidijitali, Meridianbet imezidi kujiimarisha zaidi kwa wateja wake kwani hivi sasa imeizindua Meridian Bonanza, mchezo wa kasino wa kisasa unaobeba msisimko, mikakati, na fursa za ushindi ambazo hazijawahi kushuhudiwa. Meridian Bonanza imeundwa kwa teknolojia ya kisasa inayoweka mchezaji katikati ya…

Read More

Hekaya za Mlevi: Zishtukieni sera za ndoto 

Dar es Salaam. Mimi sijui nina uraibu gani. Hata akipita mwendawazimu anayeongea peke yake, nitahangaika hadi nisikie kile anachosema. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikiliza paka wanaolalama usiku wa manane, nikawa nasikia kama wanaongea kama watu. Wakati mwingine niliogopa kwa kudhani nagombaniwa miye, maana mmoja alisema “ni wanguuu” mwingine akajibu “mwongooo”.  Kwa kutaka kujua kila kitu, najikuta…

Read More

JIMBONI KWA CHONGOLO NI FULL VIBE WAKIMSURI MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA SULUHU HASSAN

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Makambako  YAANI ni full vibe… ni shangwe tu kwa wananchi wa Makambako!Ndivyo unavyoweza kueleza wakati mamia ya wananchi wakiwa wamejitokeza katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dk.Samia Suluhu Hassan  Katika mkutano huo ambao unafanyika mapema asubuhi ya leo Septemba 6,2025 wakimsubiri mgombea Urais kupitia CCM Rais Dk.Samia Suluhu Hassan…

Read More