Thailand Yampata Waziri Mkuu Mpya Baada ya Msukosuko wa Kisiasa – Global Publishers
Bunge la Thailand limemchagua mfanyabiashara Anutin Charnvirakul kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, ikiwa ni kiongozi wa tatu kushika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka miwili. Anutin, ambaye ni kiongozi wa chama cha Bhumjaithai, alipata uungwaji mkono wa kutosha bungeni baada ya chama chake kujitenga na muungano wa Pheu Thai uliokuwa…