DK Biteko awataka Watanzania kuacha alama katika utumishi wao
Moshi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya Askofu mstaafu Dk Martin Shao aliyefariki dunia Agosti 25, mwaka huu. Akizungumza baada ya Ibada ya maziko leo Alhamisi Septemba 4, 2025 yaliyofanyika katika Kijiji cha Lole, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Dk Biteko…