MADIWANI HANDENI MJI WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Na Mwandishi Wetu, Handeni TC Madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni wameaswa kuzingatia miiko ya viongozi wa umma na kudumisha uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao. Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Baraza la Madiwani Desemba 4, 2025, kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Bakari Mussa kutoka Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi…