Polisi yawashikilia 15 kwa kubandika SSH 2530 bila kibali
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 waliokuwa wanatumia namba za gari za SSH 2530 baada ya Septemba Mosi mwaka huu Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime kutoa onyo ya matumizi ya namba hizo. Misime alitangaza baadhi ya watu kubandika namba hizo kwenye magari yao kinyume na…