EQUITY NA TALEPP KUZINDUA MAPINDUZI SEKTA YA NGOZI
:::::: Benki ya Equity Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Watengenezaji wa Bidhaa za Ngozi Tanzania, TALEPPA, kwa lengo la kufungua fursa mpya katika sekta ya ngozi na kuimarisha viwanda vya ndani,Makubaliano hayo yameambatana na uzinduzi wa Mradi wa Viatu vya Shule Tanzania, TALSSI, unaolenga kuongeza thamani ya ngozi ya ndani na kuchochea…