NRA yakatisha ‘Mobile Campaign’ kuwahi Kigoma, NLD ni kesho Tanga
Dar es Salaam. Wakati chama cha National League for Democracy (NLD) kitazindua kampeni zake kesho Septemba 4, 2025 mjini Tanga, chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) kimelazimika kukatisha programu yake ya ‘mobile campaign’ leo Jumatano Septemba 3, 2025 ili kuwahi uzinduzi wa kampeni yao keshokutwa Ijumaa, Septemba 5, 2025 mjini Kigoma. Tangu kuanza kwa kampeni,…