Mgombea urais wa NLD akatisha ziara Dar, aibukia Tanga msibani
Tanga. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan ameshiriki kwenye msiba wa mama wa mwandishi wa habari wa Redio Mwambao FM ya jijini Tanga, Mwanamkuu Issa, huku akisema amekatisha ziara Dar es Salaam na kuamua kuhudhuria msiba, lakini ataendelea na kampeni zake za kuomba…