Gumzo ahadi za wagombea urais, wadau watahadharisha
Dar es Salaam. Wakati kampeni za wagombea nafasi za urais, ubunge na madiwani, zikipamba moto tangu kuanza kwake Oktoba 28, 2025, sera na ahadi mbalimbali zimeendelea kunadiwa majukwaani licha baadhi ya wagombea kuja na ahadi zinazogonga vichwa vya habari hasa ikiangaliwa utekelezaji wake. Vyama 17 kati ya 18 vilivyosaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu…