DCEA YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UANDAAJI BORA WA HESABU 2024

 ::::::::: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mshindi wa kwanza na kupewa tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu International Public Sectors Accounting Standards (IPSAS) katika kundi la Taasisi za Serikali zinazojitegemea.  Tuzo hiyo imetolewa…

Read More

NBAA YATOA TUZO ZA UMAHILI KATIKA UANDAAJI WA TAARIFA ZA FEDHA YA MWAKA 2024 KWA MAKAMPUNI, TAASISI NA MASHIRIKA

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) akisoma hotuba ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2024 (Best Presented Financial Statements for the Year 2024 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika…

Read More

Ulanguzi tiketi wapamba moto kwa abiria

Dar es Salaam. Wingi wa abiria wanaosafiri kutoka Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli kuelekea mikoa mbalimbali nchini umeibua mianya ya ulanguzi wa tiketi, hali inayowalazimu baadhi ya wasafiri kulipa nauli za juu kupita viwango halali. Ongezeko hili la mapema la abiria linachochewa na tetesi za maandamano yanayodaiwa kupangwa kufanyika Desemba 9. Kwa kawaida, changamoto…

Read More

WANAFUNZI 937,581 WAPANGIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2026

:::::::::: Serikali imetangaza majina ya wanafunzi 937,581 watakaojiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2026, wakiwemo wasichana 508,477 na wavulana 429,104. Hii ni hatua inayoonesha mafanikio makubwa katika kuhakikisha kila mwanafunzi aliyefaulu darasa la saba anaendelea na elimu ya sekondari. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki…

Read More

DIWANI KATA YA KALANGALALA AKABIDHIWA OFISI

Viongozi wa kata ya Kalangalala katika halmashauri ya manispaa ya Geita leo Disemba 04, 2025 wamempokea diwani wa kata hiyo Reuben Sagayika katika hafla fupi iliyohudhuriwa na wenyeviti wa mitaa ya kata hiyo, wakuu wa idara za elimu, afya na maendeleo ya Jamii na baadhi ya walimu wa shule zilizopo katika kata hiyo. Hafla ya…

Read More

MTO UMBA KUFUNGUA MILANGO YA UTALII JIJINI TANGA .

  Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Tanga na Wilaya ya Mkinga umezindua rasmi na kuendesha zoezi la ulipaji wa fidia kwa wananchi wa kijiji cha Makota, kata ya Mwakijembe  wilayani Mkinga ili kupisha eneo tengefu la Mto Umba kujumuishwa ndani ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa…

Read More