TAKUKURU Kinondoni Ilivyofuatilia Miradi ya Bilioni Moja – Global Publishers
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU Kinondoni, Christian Nyakizee. Dar es Salaam, 2 Septemba 2025: Taarifa iliyowasilishwa leo na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU Kinondoni, Christian Nyakizee inahusu mafanikio katika utendaji kazi wa TAKUKURU mkoa wa Kinondoni kwa kipindi cha Aprili mpaka Juni 2025 ambapo taasisi hiyo imetekeleza majukumu ya kufuatilia miradi ya maendeleo,…