Moshi. Vifo vinavyotokana na mafuriko katika Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro vimeongezeka na kufikia saba, baada ya mtu mmoja kufariki kwa kuangukiwa na kifusi katika
Category: Habari

Featured • Kitaifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Na Mwandishi wetu Benki ya Stanbic Tanzania na Kampuni ya Ramani zaingia ushirikiano wenye lengo la kimkakati la kuleta mabadiliko katika sekta ya biashara na

Dodoma. Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwondoa aliyekuwa Waziri wa Nishati, January Makamba na kuibadilisha Bodi ya Wakurugenzi
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imetoa mafunzo Wanafunzi wa Shahada na Shahada ya Uzamili wanaosoma masomo ya Ununuzi katika Chuo cha Bahari

Geita. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu (wa tatu kutoka kushoto),akikabidhi seti ya vitanda kwa Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania –

Dodoma. Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameshauri magari ya mawaziri yafungwe mfumo wa gesi (CNG) kupunguza matumizi ya mafuta. Musukuma amesema hayo leo Alhamisi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Mfuko