Viatu vya Travis Scott “Jumpman Jack” Jordan hatimaye vimetajwa tarehe ya kutolewa, na ni hivi karibu kabisa. Kulingana na Highsnobiety, bidhaa hiyo itatolewa Aprili 30
Category: Habari

Ripoti ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, HRW iliyochapishwa Alhamisi, imeeleza kuwa mauaji hayo ya watu wengi yalifanyika Februari

Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kuchukua hatua zaidi kutatua athari zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Wamesema hayo bungeni Dodoma leo Alhamisi Aprili 25,

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Dinesh Balsingh wakibadilishana mkataba wa kuendeleza sekta ya kilimo na kuwa ya Kidijitali. Mkurugenzi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAMLAKA ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)

Uidhinishaji wa mwisho wa sheria hiyo ambayo inajumuisha dola bilioni 61 kwa Kyiv kati ya jumla ya dola bilioni 95 za ufadhili unajiri baada ya

Dodoma. Serikali imesema itafanya tathmini na ikibidi mapitio ya sheria ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri nchini kupitia mapato yake ya ndani ili

*MWENYEKITI Lee Man-hee -Jukumu langu ni kushuhudia matukio ya Ufunuo kama nilivyoyasikia na kuyaona.” *Ushuhuda juu ya ukweli uliotimizwa wa Ufunuo’ ulielezea kimantiki na kwa

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewashauri wenye visima vya maji kuhakikisha maji yanapimwa ili kukidhi ubora na kulinda usalama wa afya zao. Hayo yamebainishwa Leo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini zimesababisha vifo