Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,728
Habari

TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

April 25, 2024 Admin

Naibu Katibu Mkuu wa Usimamizi wa Uchumi, Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwamdumbya na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Masuala ya Kodi Kimataifa wa Wizara ya

Read More
Habari

Zaidi ya wanafunzi 100 wamekamatwa huko California, kwenye maandamano ya kupinga vita vya Israel

April 25, 2024 Admin

Polisi nchini Marekani wamewakamata makumi ya waandamanaji katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin (UT Austin) na Chuo Kikuu cha Kusini mwa California (USC) huku

Read More
Habari

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

April 25, 2024 Admin

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha mazingira ya maladhi kwa wanafunzi

Read More
Habari

Mafuriko yasababisha vifo vya zaidi ya watu kumi Nairobi – DW – 25.04.2024

April 25, 2024 Admin

Serikali imeunda kikosi cha dharura kushughulikia janga hilo.Wakati huohuo, idara ya polisi imeendelea na juhudi za uokozi kwa ambao nyumba zao zimefunikwa na maji.  Kulingana

Read More
Habari

Waliokumbwa maporomoko ya tope Mlima Kawetere watoka kambini

April 25, 2024 Admin

Mbeya. Wakati Serikali ikiendelea kuratibu makazi ya waathiriwa wa maporomoko ya tope linalotoka Mlima Kawetere jijini hapa, waathiriwa hao wameondoka kwenye kambi ya muda katika

Read More
Habari

MKUTANO MKUU WA ALAT 2024; WAZIRI MCHENGERWA ATEMBELEA BANDA LA PSSSF

April 25, 2024 Admin

ZANZIBAR MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umeshiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 38 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT) uliofanyika

Read More
Habari

Mkakati mkubwa wa teknolojia ya kifedha, kuimarisha uwezo wa biashara za wasambazaji wa ndani na wajasiriamali wazinduliwa

April 25, 2024 Admin

Katika mkakati unaolenga kuleta mabadiliko kwenye sekta ya biashara, na kuendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania kwa ufanisi zaidi benki ya Stanbic Tanzania

Read More
Habari

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

April 25, 2024 Admin

  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango wa Exim

Read More
Habari

Exim Bank yatoa  vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi-Moshi  – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 25, 2024 Admin

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu (wa tatu kutoka kushoto),akikabidhi seti ya vitanda kwa Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania –

Read More
Habari

Mbunge alalama uwezo mdogo wa transifoma

April 25, 2024 Admin

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Jesca Kishoa ameitaka Serikali kufunga transifoma zenye ukubwa wa kilovoti 200 hadi 315 ili kukidhi mahitaji ya kuendesha viwanda

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,727 2,728 2,729 … 2,761 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.