Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,729
Habari

WAZIRI JAFO AONGOZA VIONGOZI WA MKOA WA DODOMA MAPOKEZI YA VIONGOZI WA DINI WALIOSAFIRI NA TRENI YA MWENDOKASI WAKITOKEA DAR

April 24, 2024 Admin

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi

Read More
Habari

Mifumo ya kidijitali Brela yachochea maendeleo ya viwanda, biashara

April 24, 2024 Admin

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mifumo ya kidijitali inayotumiwa na Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetajwa kuleta mabadiliko ya ongezeko la matumizi

Read More
Habari

ALAT yapewa mbinu kuleta mabadiliko kwa jamii

April 24, 2024 Admin

Unguja. Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) imetakiwa kujipambanua kwa kutetea masilahi ya umma ili kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii, jambo ambalo limetajwa kuwa

Read More
Habari

SERIKALI YAZITAKA TAASISI ZA FEDHA ZA KUTOA MIKOPO KUFUATA UTARATIBU

April 24, 2024 Admin

Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za

Read More
Habari

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

April 24, 2024 Admin

  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinatekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kufuata sheria na kuzingatia mfumo wa

Read More
Habari

MADEREVA BODABODA JIJINI DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA ELIMU YA USALAMA BARABARANI

April 24, 2024 Admin

Na Mean Wetu,Dodoma MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria mbalimbali

Read More
Habari

MBUNGE MTATURU ACHANGIA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU

April 24, 2024 Admin

JITIHADA za Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu kwa kushirikiana na wanachi zimesaidia kukamilisha kazi ya upauaji wa madarasa mawili katika Shule

Read More
Habari

MTATURU ACHANGIA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU

April 24, 2024 Admin

  JITIHADA za Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu kwa kushirikiana na wanachi zimesaidia kukamilisha kazi ya upauaji wa madarasa mawili katika

Read More
Habari

Mvua zaleta maafa kila kona, hofu yaongezeka, shule zafungwa

April 24, 2024 Admin

Dar/mikoani. Mvua zinazonyesha sehemu tofauti nchini zimeendelea kusababisha uharibifu wa mali, miundombinu, mashamba na hata kusababisha vifo vya watu kutokana na kufurika kwa maji. Leo

Read More
Habari

PROF. MKENDA AZIPONGEZA SHULE BINAFSI KUSITISHA MASOMO KUTOKANA NA HALI YA HEWA MBAYA

April 24, 2024 Admin

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewataka wazazi na walezi pindi wanapoona mvua kubwa zinanyesha kutowaruhusu watoto kwenda shule

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,728 2,729 2,730 … 2,758 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.