Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,730
Habari

WAZIRI MAVUNDE ATAKA KILA MMOJA KUFUATILIA HADHI YA MAOMBI AU LESENI ZAKE

April 24, 2024 Admin

Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 24,2024 jijini Dodoma. …………… Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume

Read More
Habari

Maelfu ya raia Bangladesh wakusanyika kwenye ibada kuomba kupata mvua

April 24, 2024 Admin

Maelfu ya raia wa Bangladesh walikusanyika kuombea mvua siku ya Jumatano katikati ya wimbi kubwa la joto lililosababisha mamlaka kufunga shule kote nchini. Utafiti wa

Read More
Habari

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

April 24, 2024 Admin

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametaja vipaumbele saba vya bajeti ya wizara yake ambavyo ni pamoja na kuendelea kutekeleza

Read More
Habari

Mloganzila mguu sawa upasuaji wa kuongeza makalio

April 24, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikitarajia kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile Mei 2024, imeelezwa wanawake wenye uhitaji wa huduma hiyo ni wengi,

Read More
Habari

RIDHIWANI -WANAFUNZI SOMENI KWA BIDII, ELIMU NDIO NGUO YA MAISHA

April 24, 2024 Admin

Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi na vijana kuacha matumizi mabaya ya

Read More
Habari

JKCI IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU MAJUMBANI

April 24, 2024 Admin

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza kutoa huduma ya kuwafuata  wagonjwa manyumbani mwao na kuwapa tiba ili kupunguza vifo vya ghafla pamoja na kuokoa muda

Read More
Habari

Kocha wa Chelsea amekiri kuwa wachezaji walikata tamaa baada ya kupoteza dhidi ya Arsenal

April 24, 2024 Admin

Mauricio Pochettino alikiri Chelsea “ilikata tamaa” katika kipigo cha mabao 5-0 Jumanne dhidi ya Arsenal, lakini alitaka kuwatetea wachezaji wake kwa kusisitiza kuwa baadhi ya

Read More
Habari

ELIMU YA MLIPA KODI ILIVYOMUOKOA MIKONONI MWA MATAPELI

April 24, 2024 Admin

MFANYABIASHARA Marik Ngutti wa Machimbo ya Matabi wilayani Chato Mkoa wa Geita ameeleza namna ambavyo ufuatiliaji wake wa elimu ya mlipa kodi ilivyomnasua kutoka kwenye

Read More
Habari

Mradi wa mabadiliko ya mifumo ya lishe bora kitaifa wafunguliwa

April 24, 2024 Admin

Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limezindua programu ya miaka mitano ya ‘The Nourishing Food

Read More
Habari

MISAADA MBALIMBALI YAWAFIKIA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA NA WATOTO KATIKA KAMBI ZA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI

April 24, 2024 Admin

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji April 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM])

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,729 2,730 2,731 … 2,755 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.