Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,731
Habari

Waziri mkuu awaonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi Tanga

April 24, 2024 Admin

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi kipya cha Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Centre kilichopo stendi ya Kange, nje kidogo

Read More
Habari

KATIBU MKUU WAZAZI HAPI AMETEMBELEA TRENI YA MWENDOKASI DODOMA

April 24, 2024 Admin

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg.Ally Salum Hapi (MNEC) ametembelea na kuona treni mpya ya kisasa ya

Read More
Habari

RAS ,MRATIBU WA MAAFA PWANI WAPOKEA UGENI KUFANYA UFUATILIAJI WA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KAMBI ZA MAFURIKO

April 24, 2024 Admin

Na Mwamvua Mwinyi,RufijiApril 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa

Read More
Habari

Bodaboda waeleza mafanikio mafunzo usalama barabarani

April 24, 2024 Admin

MADEREVA bodaboda katika Jiji la Dodoma wameeleza jinsi mafunzo ya elimu ya usalama barabarani yalivyo wafumbua macho na kuwafanya kufahamu sheria mbalimbali za barabarani na

Read More
Habari

Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa

April 23, 2024 Admin

Unguja. Shule ya Sekondari iliyosababisha mkandarasi kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar imekamilika na kufunguliwa rasmi. Sekondari hiyo iliyopewa jina la Hassan Khamis Hafidh yenye ghorofa tatu

Read More
Habari

PSPTB YATOA ELIMU CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

April 23, 2024 Admin

  Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB Godfred Mbanyi akitoa maelezo kuhusu kazi

Read More
Habari

RC CHALAMILA AWATOA HOFU WANANCHI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

April 23, 2024 Admin

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni

Read More
Habari

SERIKALI KUENDELEA NA UTEKELEZAJI GRIDI YA TAIFA YA MAJI

April 23, 2024 Admin

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Serikali inaendelea na maandalizi ya utekelezaji wa Gridi ya Taifa ya Maji inayolenga kutumia vyanzo vya uhakika vya maji

Read More
Habari

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

April 23, 2024 Admin

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti ya Ofisiya Makamu wa Rais kiasi cha shilingi bilioni 62.7 kwa mwaka wa fedha2024/2025 bungeni jijini

Read More
Habari

Shibuda amlima waraka mzito Bulembo

April 23, 2024 Admin

MKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Mulembo, aliyempinga Mbunge wa Kisesa, Lwaga Mpina. Anaripoti Mwandishi Wetu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,730 2,731 2,732 … 2,755 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.