Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,732
Habari

Rais Samia kufanyiwa maombi maalum

April 23, 2024 Admin

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho, limeandaa kongamano la maombi maalum ya kuliombea Taifa pamoja na  Rais Dk. Samia

Read More
Habari

Miaka Sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni mapinduzi ya uwekezaji wazawa.

April 23, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Bi Beng’i Issa amesema kuwa katika miaka sita ya Rais Dkt.SamiaSuluhu

Read More
Habari

SIMANJIRO WASHIRIKI KULIOMBEA TAIFA – MICHUZI BLOG

April 23, 2024 Admin

Na Mwandishi wetu, Mirerani Viongozi wa dini, wa Serikali, wanachama na wakereketwa wa CCM wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, wamefanya maombi ya kuliombea Taifa

Read More
Habari

Profesa Malebo :Tanzania, imeendelea kuimarisha juhudi za kulinda haki za binadamu kwa raia wake

April 23, 2024 Admin

*Nchi imeruhusu uhuru wa kujieleza pamoja na kukusanyika kwa uhuru Mwandishi Wetu Maalum ,Marekani Nchi ya Tanzania umetoa ujumbe wake Kwa Umoja wa Mataifa kuwa

Read More
Habari

WAAJIRI WOTE NCHINI WATAKIWA KUSAJILI MAENEO YAO YA KAZI OSHA

April 23, 2024 Admin

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi ,Vijana ,Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Mhe.Deogratius Ndejembi,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Siku

Read More
Habari

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA ‘CHRISTIAN BLIND MISSION’ (CBM).

April 23, 2024 Admin

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Leo Aprili 23, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Shirika la Kimataifa

Read More
Habari

RAIS SAMIA AAGANA NA ALIYEKUWA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA BALOZI FATOU HARERIMANAA

April 23, 2024 Admin

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika

Read More
Habari

VUNADEILE KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWAWEZESHA VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

April 23, 2024 Admin

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Tree Oceans Ltd . Inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashili wa VUNADEILE Naseem Allan

Read More
Habari

WAZIRI JAFO AWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2024/25

April 23, 2024 Admin

Ofisi ya Makamu wa Rais inaandaa Mfumo wa Kieletroniki wa Uratibu wa Taarifa za Masuala ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Pia, inaanzisha Kituo cha

Read More
Habari

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akutana na mkuu wa idara ya operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa

April 23, 2024 Admin

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,731 2,732 2,733 … 2,753 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.