Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,733
Habari

SINGIDA WAANZA KUTOA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA UZAZI KWA WASICHANA 178,114.

April 22, 2024 Admin

Mkoa wa Singida umezindua rasmi zoezi la utoaji wa chanjo wa Saratani la mlango wa uzazi kwa wasichana mwenye umri kati ya miaka Tisa hadi

Read More
Habari

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

April 22, 2024 Admin

Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa

Read More
Habari

Makonda ahojiwa kwa saa tatu CCM

April 22, 2024 Admin

Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na

Read More
Habari

 Chadema yachefukwa kauli ya fedha za maendeleo anatoa Rais Samia

April 22, 2024 Admin

Bukoba. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kukerwa na kauli ya baadhi ya viongozi wa Serikali na chama kilichopo madarakani kuwa kila fedha zinazotolewa

Read More
Habari

DKT. JIM YONAZI AONGOZA MKUTANO WA TANZANIA NATIONAL COORDINATING MECHANISM (TNCM)

April 22, 2024 Admin

Na. Mwandishi Wetu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ambaye ni Mwenyekiti wa TNCM ameongoza

Read More
Habari

Dk. Mpango awataka Watanzania kuuombea Muungano wakizingatia falsafa za 4R

April 22, 2024 Admin

Na Nora Damian, Mtanzania Digital-Dodoma Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amewataka Watanzania kujivunia miaka 60 ya Muungano na kuuombea uendelee kudumu huku wakizingatia falsafa

Read More
Habari

Dk Mpango, Sheikh Ponda wakemea uovu, wasisitiza amani

April 22, 2024 Admin

Dodoma. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amesema pale kwenye madai kuwa haki haitendeki, wahusika wafuate taratibu za kutoa taarifa kwenye vyombo vya ulinzi na

Read More
Habari

NMB yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia kufungua kesho

April 22, 2024 Admin

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya ya

Read More
Habari

Ajali yaua 13 Kilwa | Mwananchi

April 22, 2024 Admin

Kilwa. Watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Somanga Wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Akizungumzia ajali hiyo

Read More
Habari

Wanawake 347 wakutwa na maambukizi saratani ya mlango wa kizazi Kagera

April 22, 2024 Admin

Kagera. Wanawake 347 mkoani hapa wamebainika kuwa na maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi baada ya kufanyiwa uchunguzi. Jumla ya wanawake 4,689 wamefanyiwa uchunguzi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,732 2,733 2,734 … 2,752 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.