Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,735
Habari

MKAGUZI MKUU WA NDANI KUONGEZA USIMAMIZI WA MAPATO NA MATUMIZI

April 21, 2024 Admin

Na. Peter Haule, WF. Arusha Mkaguzi Mkuu wa Ndani (IAG), Bw. Benjamini Magai amesema ofisi yake itafanya mabadiliko makubwa katika taratibu za ukaguzi katika maeneo

Read More
Habari

Msigwa ataka mdahalo na Sugu uenyekiti Kanda ya Nyasa

April 21, 2024 Admin

Mbeya. Mgombea uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amesema mkakati wa chama hicho ni kupambana na kushinda

Read More
Habari

Manispaa ya Temeke yatumia Mamilioni ya fedha bila kufuata mifumo ya kudhibitishwa ubora

April 21, 2024 Admin

*Wafanya manunuzi nje ya mfumo zaidi ya sh.Bilioni Mbili Na Chalila Kibuda ,Michuzi Manispaa ya Temeke ya katika ripoti ya CAG iliweza kutumia kiasi cha

Read More
Habari

KAMATI YA BUNGE UGANDA, YAVUTIWA NA MIUNDOMBINU YA UDOM

April 21, 2024 Admin

Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ya Bunge la Uganda imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa uwekezaji mkubwa iliyofanya katika ujenzi wa Chuo Kikuu cha

Read More
Habari

MABALOZI WA TANZANIA WAJIFINGIA KIBAHA, KUTAFAKARI NA KUJIPANGA UPYA

April 21, 2024 Admin

Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani na Wakuu wao wa utawala wamejifungia katika Chuo cha Uongozi Cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Kibaha kwa siku

Read More
Habari

Wataalamu wa maabara wapaza sauti Zanzibar

April 21, 2024 Admin

Unguja. Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua

Read More
Habari

NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA MICHEZO YA MEI MOSI MKOANI ARUSHA

April 21, 2024 Admin

Na; Mwandishi Wetu – Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya

Read More
Habari

SERIKALI KUTANGAZA RIPOTI YA SENSA YA WANYAMA NA UTALII KESHO

April 21, 2024 Admin

Na John Mapepele Kesho Serikali inakusudia kutangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka 2023 katika

Read More
Habari

DKT.GWAJIMA ATOA AGIZO MEWATA KUTOA ELIMU YA UKATILI WA KIJINSIA KWA JAMII

April 21, 2024 Admin

NA ZIANA BAKARI WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye mahitaji maalumu, Dk. Dorothy Gwajima, amewataka wanachama wa Chama Cha Madaktari Wanawake Tanzania

Read More
Habari

Wanawake wa Mkoa wa Pwani waaswa kujitokeza kujisajili kwenye mpango mpya

April 21, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Pwani Wanawake nchini wameombwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kwenye mpango mpya wa ‘Imarisha Uchumi na Mama Samia’ ili waweze kuunganisha kikamilifu

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,734 2,735 2,736 … 2,750 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.