WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea Taifa inayotarajiwa
Category: Habari

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki, fedha, metrolojia na

*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara

Dar/Morogoro. Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, Mzee Nyamka kuhusu unyanyasaji wa wafungwa magerezani, imewaibua wadau wa haki za binadamu wakitaka

Kibaha. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani wamekutana mjini Kibaha, mkoani Pwani kwa warsha maalumu inayolenga kuwakumbusha majukumu yao na matarajio ya Serikali kwenye

Bukoba. Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Jasson Rweikiza amejitolea kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Bukoba Vijijini kwa gharama ya Sh150 milioni. Taarifa ya

Arusha. Zaidi ya waumini 200 wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) wamefanya ibada nje ya nyumba ya mtu baada ya kukuta kanisa lao limefungwa

Dar es Salaam. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea sehemu zaidi ya tatu ambazo wazazi na walezi hawaruhusiwi kupiga watoto wao viboko. Na ninaposema hawaruhusiwi

Dar es Salaam. Uwezeshwaji katika nyanja na fursa mbalimbali kwa watoto wa kike umeshuhudiwa kwa kiasi kikubwa katika zama hizi ambapo kuna namna mtoto wa

Kenya. Watu 50 pekee watashiriki kumzika aliyekuwa Mkuu wa majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla, tovuti ya Nation nchini humo imeripoti. Miongoni mwa watu hao