Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 2,739
Habari

Ajali za helikopta zinavyomaliza vigogo Kenya

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Ajali ya helikopta imeondoa uhai wa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Francis Ogolla leo Aprili 18, 2024. Mbali na Jenerali Ogolla,

Read More
Habari

Asasi ya Agenda yabainisha madhara ya kemikali zilizopo kwenye Plastiki

April 18, 2024 Admin

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza

Read More
Habari

Wananchi wafunguka mauaji ya mwanafunzi wakati akizikwa

April 18, 2024 Admin

Morogoro.  Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho,

Read More
Habari

Wananchi wafunguka mauaji ya mwanafunzi wakati akizwa

April 18, 2024 Admin

Morogoro.  Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho,

Read More
Habari

Dk Biteko atoa kauli usalama Bwawa la Julius Nyerere

April 18, 2024 Admin

Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema licha mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)

Read More
Habari

Muuza maji aliwa na mamba ziwani

April 18, 2024 Admin

Mwanza. Muuza maji na mkazi wa Kijiji cha Busisi Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza aliyefahamika kwa jina moja la Charles, anadaiwa katoweka ziwani baada ya

Read More
Habari

Wizara yataka wanawake kugombea kwa wingi uchaguzi ujao

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwanaidi Ali Khamis amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania uongozi katika

Read More
Habari

Chalamila atishia kumweka ndani mkandarasi mwendokasi

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya

Read More
Habari

Sababu Rais Samia kupewa shahada nne za heshima

April 18, 2024 Admin

Dar es Salaam. Uimara katika usimamizi wa sekta fulani na kuwa na mchango katika Taifa lake ni miongoni mwa sababu zilizotajwa na wasomi kuwa chachu

Read More
Habari

Dk Nchimbi atoa agizo Wizara ya Kilimo

April 18, 2024 Admin

Mbeya. Wakati Serikali ya Tanzania ikiendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya ardhi ya kilimo wilayani Mbarali, Wizara ya Kilimo imeagizwa kufanya mazungumzo na mmoja wa

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 2,738 2,739 2,740 … 2,744 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.