EQUITY YAWEKEZA KATIKA ELIMU YA MAWAKALA

Benki ya Equity imesema zaidi ya asilimia 80 ya miamala yake inafanyika kidigitali, hatua inayodhihirisha kasi ya ukuaji wa teknolojia katika sekta ya fedha,huduma hizo zinajumuisha mfumo wa uwakala ambao umeendelea kuwa njia kuu ya kuwafikishia wananchi huduma za kibenki bila kulazimika kufika kwenye matawi ya benki. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika Jukwaa la…

Read More

Zombie Apocalypse Yaja Na Ushindi Juu Ya Ushindi. – Global Publishers

Kila mchezaji wa kasino mtandaoni anajua kuwa mzunguko mmoja ndani ya mchezo unaweza kubadilisha historia ya kila kitu. Lakini Meridianbet imeamua kuchukua msisimko huo hatua moja mbele na kuunda tukio linalohusisha ushindi, burudani, na changamoto kwa wakati mmoja, ni kupitia promosheni ya Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins. Kila Jumanne na Alhamisi, mitandao ya Meridianbet…

Read More

Serikali yakata mishahara ya wabunge kutuliza waandamanaji

Jakarta. Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia, ukiwemo mji mkuu, Jakarta, ulioshuhudia mamia ya waandamanaji wanaoipinga serikali. Maandamano hayo yamesababisha…

Read More

Polisi waendelea kumsaka mganga anayedaiwa chanzo cha kifo cha mwanafunzi

Arusha. Zikiwa zimepita siku 17 tangu kufariki dunia kwa mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Qash iliyopo wilayani Babati, mkoani Manyara, Yohana Konki (17), Jeshi la Polisi mkoani Manyara limesema linaendelea kumsaka mganga wa kienyeji anayedaiwa kutoa ramli chonganishi iliyosababisha mauaji hayo. Yohana, alifariki dunia baada ya kupigwa na wanafunzi wenzake kwa…

Read More

Ahadi ya Mwendokasi Mbagala yakwama tena, sababu zatajwa

Dar es Salaam. Huduma ya mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) katika barabara ya Mbagala, ambayo awali ilitarajiwa kuanza leo Jumatatu Septemba mosi, 2025, imesogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa miundombinu muhimu yakiwamo mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 na Mwananchi, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart),…

Read More

DUA MAALUM KWA TAIFA ,RAIS SAMIA YAFANA DAR

Anaripoti Rashid Mtagaluka Tukio la Dua ya kuiombea Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan lililofanyika leo Agosti 31,2025 katika ukumbi wa DRIMP, Ilala Boma, ni kielelezo cha namna Watanzania wanavyotambua dhamana kubwa aliyoibeba Rais katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dua hiyo iliyoongozwa na Sheikh Adam Mwinyipingu wa BAKWATA Ilala, imekusanya makundi mbalimbali…

Read More