Unguja. Zanzibar inakabiliwa na ukosefu wa mafuta ya Petroli kwa siku mbili mfululizo na kusababisha adha kwa wananchi wanaohitaji nishati hiyo. Tatizo hilo limeanza Aprili
Category: Habari

Unguja. Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watuhumiwa 21 wakidaiwa kujihusisha na matukio ya wizi, uporaji na unyang’anyi wa kutumia mapanga. Watuhumiwa wamekamatwa baada ya

Unguja. Licha ya huduma ya mafuta ya petrol kuanza kupatikana usiku wa kuamkia leo Jumatano, Aprili 17, 2024 kisiwani Unguja, bado hofu imeendelea kuibuka kutokana

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali

Mbeya. Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo Kuu la Magharibi (KMT-JKM), Dk Alinikisa Cheyo amepata mrithi wake baada ya Mchungaji Robert Pangani

Dodoma. Mbunge wa viti maalumu (CCM), Taska Mbogo amezichongea manispaa na halmashauri kwa kuanzisha shule za mkondo wa Kiingereza ‘English Medium’ na kulipia ada, hali

Geita. Mshtakiwa Bahati Shija anayekabiliwa na shitaka la kumuua mkewe, Grace Daud kwa kumpiga na chuma kichwani ya kukataa kurudiana naye, ameiambia Mahakama hajui sababu

Ramadhan Hassan,Dodoma SERIKALI imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya

Iringa. Hatimaye mgombea wa nafasi ya uenyekiti Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekabidhiwa fomu ya kuwania nafasi hiyo. Wanawake wa Chadema Mkoa wa Iringa

Moshi. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Benedicto Petro aliyeongoza timu ya makachero kuwakamata washtakiwa wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, ameeleza namna walivyomkamata mshtakiwa wa