Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya kutekeleza wajibu wao wa kutoa mrejesho kwa jamii juu ya michango, kazi
Category: Habari
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi , amewatembelea wananchi waliopatwa na maafa ya kuharibikiwa kwa nyumba na mali zao mara
Hanang. Baada ya uharibifu wa miundombinu ya maji Wilaya ya Hanang mkoani Manyara uliosababishwa na maporomoko ya udongo, Shirika la WaterAid Tanzania limekarabati chanzo cha
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani ( FCT) katika kuongeza uzoefu, ufanisi katika
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa (Tamisemi), ikipanga kutumia Sh190.57 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa magari
By Dr. Hon Pak, Vice President and Head of Digital Health Team, MX Business at Samsung Electronics Today, more than ever, people are defining their own wellness
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imedhamiria kutoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu kuwawezesha vijana kuwa
Dodoma. Serikali ya Tanzania inakamilisha mwongozo kwa vijana wanaojitolea utakaiwawezesha kupatiwa malipo wakati wa utumishi wao. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa