Waziri Gwajima ‘anavyojikusanyia kijiji chake’ mtandaoni
Dar es Salaam. Tabia yake ya kujibu jumbe za wananchi kwenye mitandao ya kijamii inamfanya kuwa miongoni mwa viongozi wachache wanaoonekana na kukubalika zaidi mitandaoni. Sifa hii anaipata si tu kwa kujibu hoja na kutoa ufafanuzi wa mambo kadha wa kadha yanayohusu sekta yake kama wengine, bali yeye anakwenda mbele zaidi kwa kujibu jumbe za…