TUONGEE KIUME: Mwanamume anatetea na kubadili maisha ya watu

Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa barabarani naendesha gari. Mara nikafika sehemu yenye barabara nyembamba. Mbele yangu upande wa kulia kuna gari inakuja, na upande wa kushoto kuna mkokoteni unakwenda ninapoelekea. Ikabidi nisimame kusubiri mwenye mkokoteni asogee mbele ili niweze kupita vizuri kwa usalama. Lakini ghafla nikasikia, pipiiiiii!!! Honi kibao. Kuangalia nyuma naona ni bodaboda mwenye haraka…

Read More

Ahadi za Samia kwa wananchi wa Chamwino

Chamwino. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kumaliza changamoto zote za huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino kwa kile alichoeleza kuwa “Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na changamoto zozote.” Samia ametoa ahadi hizo leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Chamwino mkoani Dodoma, ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha kampeni…

Read More

Aliyekuwa Spika Bunge la Ukraine auawa kwa kupigwa risasi

Dar es Salaam. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Ukraine, Andriy Parubiy ameuawa kwa kupigwa risasi katika Jiji la Magharibi la Lviv jana Jumamosi, kwa mujibu wa taarifa za Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu. Taarifa zinaeleza kuwa,  mtu mwenye silaha alifyatua risasi kadhaa na kumuua Parubiy papo hapo kisha kukimbia na msako mkubwa umeanzishwa kumtafuta muuaji…

Read More

Mbinu za kujenga ukaribu na wanao

Dar es Salaam. Inawezekana  ukaishi na watoto au mtoto wako nyumbani lakini akahisi kama vile haupo. Labda kwa lugha nyingine naweza kusema unaweza kuwepo nyumbani kimwili “physically” lakini usiwepo kihisia na kijamii “absent socially and emotionally” na hapa ndipo wazazi na walezi wengi tulipo pasipo kujua na huku tukidhani kuwa mambo yote baina yetu na…

Read More