
Ramaphosa katika mtanziko Afrika Kusini
Katika Uchaguzi Mkuu wa Mei 29, 2024 nchini Afrika Kusini, chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikabiliwa na changamoto kubwa zaidi kuwahi kutokea tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi. Matokeo ya uchaguzi huo yalionyesha kuporomoka kwa umaarufu wa ANC, hivyo kukosa wingi wa kura unaohitajika kuunda serikali peke yake. Hali hii imekilazimu…