
DKT. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE
-Asisitiza nia yake kuchochea maendeleo Bukombe-Ataka ufuatiliaji wa wasioenda shule ufanyike hadi ngazi ya kaya-Daraja la mpakani kati ya Burenga na Mbogo kuanza kujengwa Na ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko…