Tanzania yapewa miezi sita kufuta adhabu ya kifo

Arusha/Dar es Salaam. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) kwa mara nyingine imeiamuru Serikali ya Tanzania kufuta adhabu ya kifo kama sharti la lazima kwenye sheria zake, huku ikiipa miezi sita kuanzia sasa kutekeleza amri hiyo. Mahakama hiyo imetoa amri hiyo katika hukumu iliyoitoa Juni 4, 2024 kutokana na shauri la…

Read More

Diwani abanwa kwa kutotaja mali, madeni yake

Dodoma. Diwani wa Kata ya Cheyo mkoani Tabora, Yusuph Kitumbo amefikishwa Mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni kwa miaka minne huku yeye akijitetea kuwa alikuwa anahudhuria kliniki kwa miaka mitatu mfululizo. Kitumbo ametoa utetezo huo leo Juni 7, 2024 mbele ya Mwenyekiti…

Read More