
VIONGOZI VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKI NA KUHAMASISHA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Na Leandra Gabriel, Dar es Salaam. VIONGOZI Wa Vyama vya Siasa nchini wametakiwa kufikisha taarifa sahihi na kwa wakati kwa wanachama wao kwa kuhamasisha wanachama wenye sifa kujitokeza na kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura pamoja na kushiriki zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hayo yameelezwa leo jijini Dar…