Mzazi unamwandaaje mtoto kuwa mchapakazi, kiongozi?
Dar es Salaam. “Mtoto wa leo ndiye kiongozi na mchapakazi wa kesho. Ili kumjenga, tunahitaji uwekezaji wa muda, upendo na malezi yenye mwelekeo sahihi.” Hii ni kauli ya mtaalamu mmoja wa malezi, Chrinstom Haule aliyoniambia wakati nazungumza naye juu ya hoja hii. Haule aliniambia kuwa si lazima iwe na gharama kubwa, bali moyo wa kujitoa…